Home Blog/Event Details
25 Jul 2026 By Admin

THE FIFTH GRADUATION EVENT OF TURNBULL TECH TRAINING COLLEGE ## MAHAFALI YA TANO YA CHUO CHA TURNBULL

Graduation / Mahafali ya Tano ya Chuo cha Ufundi Stadi Turnbull Tech Training College itafanyika katika Ukumbi wa Siasa ni Kilimo uliopo katika Manispaa ya Iringa mjini kata ya Gangilonga, Mahafali hii itakuwa ni kubwa yenye kuwa na ushiriki wa wageni waalikwa zaidi ya 500. Tunatambua sana uwepo wako katika Mahafali ya Tano ikiwa kama chuo tunaenda kuandika historia kwa mara nyingine tena katika upande wa elimu ya Ufundi nchin Tanzania kwa vyuo vya kati.